# kulitunza kasiri Hapa kifungu "kutunza" inamaanisha kuangalia. # nyumbani chini ya ulinzi Ikiwa nyumba iko "chini ya ulinzi" inamaanisha kuna mlinzi aliyepo katika nyumba. # walikuwa imefungwa Inamaana hawakuruhusiwa kutoka ndani # wajane Hawa ni wanawake ambao waume zao wamefariki.