sw_tn/2sa/20/01.md

12 lines
375 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuwa mahali pamoja
Hii inarejerea mji wa Gilgali.
# Sheba... Bikri
Haya ni majina ya wanaume.
# Sisi hatuna sehemu katika Daudi, wala hatuna urithi katika mwana wa Yese
Maelezo haya yote yanamaanisha kitu kimoja. Shiba anasisitiza kwamba yeye na makabila ya Israeli hawana uhusiano na Daudi. Yaani urithi wa Daudi na familia ya baba yake hawana uhusiano na Israeli.