# kuwa mahali pamoja Hii inarejerea mji wa Gilgali. # Sheba... Bikri Haya ni majina ya wanaume. # Sisi hatuna sehemu katika Daudi, wala hatuna urithi katika mwana wa Yese Maelezo haya yote yanamaanisha kitu kimoja. Shiba anasisitiza kwamba yeye na makabila ya Israeli hawana uhusiano na Daudi. Yaani urithi wa Daudi na familia ya baba yake hawana uhusiano na Israeli.