sw_tn/2sa/19/42.md

24 lines
851 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa nini basi mkasirike juu ya hili?
Watu wa Israeli wanauliza swali hili kuwakemea watu wa Israeli.
# Je sisi tumekula chochote ambacho mfalme amekitoa? Je ametupa zawadi yoyote?
Watu wa Yuda kama swali linavyoonesha wanaonesha kwamba hawajachukua chochote kwa mfalme.
# Hata hivyo tuna haki zaidi kwa mfalme kuliko ninyi
"Tuna madai makubwa kwa Daudi kuliko ninyi." Yaani "tuna haki zaidi ya kumhudumia mfalme na kuwa naye kuliko ninyi"
# Kwa nini basi kutudharau?
Waisraeli wanauliza swali hili kuonesha hasira yao. Yaweza kuwa "hamkupaswa kutudharau hivyo!"
# Je hatukuwa wa kwanza kupendekeza kumrudisha mfalme wetu?
Watu wa Israeli wanauliza swali hili kuwakumbusha na kuwakemea watu wa Yuda.
# Lakini maneno ya watu wa Yuda hata yakawa makali kuliko maneno ya watu wa Israeli.
Hapa "maneno" yarejerea mazungumzo ya watu wa Yuda.