sw_tn/2sa/19/40.md

28 lines
657 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akavuka kuelekea Gilgali
Walivuka Mto Yordani kuelekea Gilgali.
# Kimhamu
Hili ni jina la mwanamme
# kumleta mfalme
"kumsindikiza mfalme." Walivuka Mto Yordani.
# Jeshi la Yuda lote na nusu ya jeshi la Israeli likamleta mfalme.
"Jeshi la Yuda lote na nusu jeshi ya Israeli likamleta mfalme"
# Kwa nini ndugu zetu, watu wa Yuda... na watu wote wa Daudi pamoja naye?
Watu wa Israeli wanatumia swali hili kuonesha kwama wajisikia kwamba wamesalitiwa na ndugu zao wa Yuda.
# Kukutolosha
Waisraeli wanazungumza jinsi watu wa Yuda walivyomsindikiza mfalme kuvuka mto kama vile mfalme alikuwa kitu kilichoibwa kisicho chao.
# Yordani
Mto Yordani