# akavuka kuelekea Gilgali Walivuka Mto Yordani kuelekea Gilgali. # Kimhamu Hili ni jina la mwanamme # kumleta mfalme "kumsindikiza mfalme." Walivuka Mto Yordani. # Jeshi la Yuda lote na nusu ya jeshi la Israeli likamleta mfalme. "Jeshi la Yuda lote na nusu jeshi ya Israeli likamleta mfalme" # Kwa nini ndugu zetu, watu wa Yuda... na watu wote wa Daudi pamoja naye? Watu wa Israeli wanatumia swali hili kuonesha kwama wajisikia kwamba wamesalitiwa na ndugu zao wa Yuda. # Kukutolosha Waisraeli wanazungumza jinsi watu wa Yuda walivyomsindikiza mfalme kuvuka mto kama vile mfalme alikuwa kitu kilichoibwa kisicho chao. # Yordani Mto Yordani