sw_tn/2sa/19/26.md

24 lines
612 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Siba
Hili ni jina la mwanamme
# Bwana wangu mfalme ni kama malaika wa Mungu
Hapa hekima ya Daudi inalinganishwa na hekima ya malaika.
# Fanya lililojema machoni pako
Hii inamaanisha kufanya unalodhani kuwa sawa.
# Kwa maana nyumba yote ya baba yangu walikuwa maiti mbele ya bwana wangu mfalme
Mefiboshethi anazungumza jinsi ndugu zake walivyostahili kuuawa kama vile tiyari walikuwa wameuawa na walikuwa wafu.
# nyumba ya bwana wangu
Hii inawahusu ndugu wa baba yake.
# hiyo nililiye haki gani zaidi kwa mfalme?
Mefiboshethi anatumia swali kusisitiza kwamba hana haki ya kuomba chochote kwa mfalme.