sw_tn/2sa/19/13.md

28 lines
568 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Amasa
Hili ni jina la mwanamme
# Je wewe si mwili na mfupa wangu?
Daudi anatumia swali kusisitiza uhusiano wao.
# mwili wangu na mfupa wangu
Hapa Daudi anawazungumzia kuhusiana kwao kwa kusema kwamba wana mwili na mfupa mmoja.
# Mungu anifanyie hivyo
Huu ni usema unaomaanisha Mungu kumwua
# Akaishawishi mioyo
Hapa utiifu wa watu unazungumzwa kama "mioyo".
# Kama mtu mmoja
Hii inazungumzia watu kuungana katika utiifu wao kwa mfalme kama vile walikuwa walikuwa na nia moja.
# walipeleka kwa mfalme
Hii inamaanisha kwamba walipeleka ujumbe kwa mfalme.