sw_tn/2sa/19/07.md

28 lines
535 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Naapa kwa Yahwe
Yoabu anafanya nadhiri madhubuti.
# Usipokwenda, hakuna mtu hata mmoja atakayebaki
Hii inamaanisha kwamba askari wangebaki iwapo tu Daudi angekwenda.
# Hakuna atakayesalia
Hii inaonesha wao kubaki watiifu kwake.
# Wote wakaambiwa
Hii inaweza kuelezwa kuwa wengi wao.
# Tazama
Hii imetumika kuvuta makini ya mtu kwa ajili ya habari inayofuata.
# Watu wote
Hapa "watu" inahusu waliomfuata Daudi.
# Israeli walikimbia kila mtu nyumbani kwake
Hapa "Israeli" inahusu askari wa Waisraeli waliomfuata Absalomu.