sw_tn/2sa/19/01.md

12 lines
268 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yoabu aliambiwa
Yaweza kuelezwa kuwa kuna mtu alimwambia Yoabu.
# Tazama
Hii inavuta makini ya mtu kwa ajili ya kifuatacho.
# Hivyo siku ile ushindi uligeuzwa kuwa maombolezo kwa jeshi lote
Hii inamaanisha kwamba jeshi lote liliomboleza badala ya kusherehekea.