# Yoabu aliambiwa Yaweza kuelezwa kuwa kuna mtu alimwambia Yoabu. # Tazama Hii inavuta makini ya mtu kwa ajili ya kifuatacho. # Hivyo siku ile ushindi uligeuzwa kuwa maombolezo kwa jeshi lote Hii inamaanisha kwamba jeshi lote liliomboleza badala ya kusherehekea.