sw_tn/2sa/18/24.md

12 lines
324 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi
Neno hili limetumika hapa kuonesha mwisho wa habari na kuana kwa sehemu nyingine katika habari.
# na kuinua macho yake
Hapa mlinzi kuona jambo inazungumzwa kana kwamba aliinua macho yake.
# Anahabari kinywani
Hapa mfalme anaongelea mtu mwenye taarifa kama vile taarifa ilikuwa ni kitu kilichokaa kinywani mwake.