sw_tn/2sa/18/19.md

24 lines
436 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sadoki
Hili ni jina la mwanamme.
# Ahimaasi
Hili ni jina la mwanamme
# niende kwa mfalme na habari njema
Hapa Ahimaasi anazungumzia kukimbia na kwenda kumwambia mfalme habari njema kama vile habari njema ilikuwa ni kitu alichokibeba.
# mkono wa adui zake
Hapa "mkono" unamaanisha kutawala. Yaani "kuwatawala adui"
# mchukua habari
"Anaye toa taarifa"
# Hautachukua taarifa
Hii inamaanisha kutokupeleka taarifa kwa mfalme.