# Sadoki Hili ni jina la mwanamme. # Ahimaasi Hili ni jina la mwanamme # niende kwa mfalme na habari njema Hapa Ahimaasi anazungumzia kukimbia na kwenda kumwambia mfalme habari njema kama vile habari njema ilikuwa ni kitu alichokibeba. # mkono wa adui zake Hapa "mkono" unamaanisha kutawala. Yaani "kuwatawala adui" # mchukua habari "Anaye toa taarifa" # Hautachukua taarifa Hii inamaanisha kutokupeleka taarifa kwa mfalme.