sw_tn/2sa/17/23.md

24 lines
444 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ona
"jua" au "tambua"
# ushauri wake haukufuatwa
Hii inaweza kuelezwa kwamb "Absalomu hakuwa ameufuata ushauri wake"
# kupanda juu ya punda
Kuweka nguo au ngozi ya kukalia juu ya punda au farasi kwa aliyempanda kukaa juu yake.
# Kuweka mambo yake katika utaratibu
Alijiandaa kwa kifo chake kwa kuwaambia familia yake cha kufanya baada kufa kwake.
# Kwa njia hii
"Hivi ndivyo ilivyo"
# alizikwa
Hii yaweza kuelezwa "kuwa walimzika"