# Ona "jua" au "tambua" # ushauri wake haukufuatwa Hii inaweza kuelezwa kwamb "Absalomu hakuwa ameufuata ushauri wake" # kupanda juu ya punda Kuweka nguo au ngozi ya kukalia juu ya punda au farasi kwa aliyempanda kukaa juu yake. # Kuweka mambo yake katika utaratibu Alijiandaa kwa kifo chake kwa kuwaambia familia yake cha kufanya baada kufa kwake. # Kwa njia hii "Hivi ndivyo ilivyo" # alizikwa Hii yaweza kuelezwa "kuwa walimzika"