sw_tn/2sa/15/27.md

24 lines
387 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ahimaasi
Hili ni jina la mwanamme.
# Abiathari
Hili ni jina la mwanamme
# Je wewe si mwonaji?
Swali hili linatumika kumkemea Sadoki.
# Tazama
Hii inamtaka msikilizaji kuwa msikivu kwa kinachofuata.
# Hata neno litakapotoka kwenu
Hii inaonesha yeye akipeleka mjumbe kwa mfalme.
# Kunitaarifu
Hapa mfalme anaonesha kwamba atapokea ujumbe kumtaarifu kinachofanyika Yerusalemu.