# Ahimaasi Hili ni jina la mwanamme. # Abiathari Hili ni jina la mwanamme # Je wewe si mwonaji? Swali hili linatumika kumkemea Sadoki. # Tazama Hii inamtaka msikilizaji kuwa msikivu kwa kinachofuata. # Hata neno litakapotoka kwenu Hii inaonesha yeye akipeleka mjumbe kwa mfalme. # Kunitaarifu Hapa mfalme anaonesha kwamba atapokea ujumbe kumtaarifu kinachofanyika Yerusalemu.