sw_tn/2sa/15/24.md

8 lines
283 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nikiona kibari machoni pa Yahwe
Hapa "macho ya Yahwe" inaonesha mawazo na maoni ya Yahwe. Ikiwa "nitaona kibari" inamaanisha kama atapendezwa nawe.
# Mahali aishipo
"Mahali uwepo wake ulipo." Sanduku la agano linaashiria uwepo wa Yahwe. Hii inarejerea mahali sanduku lilipo.