# Nikiona kibari machoni pa Yahwe Hapa "macho ya Yahwe" inaonesha mawazo na maoni ya Yahwe. Ikiwa "nitaona kibari" inamaanisha kama atapendezwa nawe. # Mahali aishipo "Mahali uwepo wake ulipo." Sanduku la agano linaashiria uwepo wa Yahwe. Hii inarejerea mahali sanduku lilipo.