sw_tn/2sa/14/12.md

32 lines
823 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sema neno zaidi
"kusema nawe neno zaidi." Mwanamke anaomba kusema na mfalme jambo lingine.
# Mtumishi wako
Kuonesha heshima kwa mfalme
# Kuongea zaidi
Mfalme alimpa ruhusu kuongea zaidi.
# Kwa nini basi umetenda jambo la namna hiyo kwa watu wa Mungu?
Mwanamke anauliza swali hili kumkemea Daudi kwa jinsi alivyomtendea Absalomu.
# Mfalme ni kama mwenye hatia
Mwanamke anamlinganisha mfalme na mtu mwingine aliye na hatia bila kusema moja kwa moja.
# Mwanawe aliyefukuzwa
Hii inaweza kuelezwa kama "mwanawe aliyetengwa.
# Maana wote ni lazima tufe, nasi ni kama maji tukimwagika juu ya ardhi... juu tena.
Hapa mwanamke anazungumzia mtu anayekufa kama maji yamwagikayo juu ya nchi.
# Mungu... hutafuta njia kwa wale waliofukuzwa kurudishwa tena.
Mwanamke anaonesha kwamba Daudi anapaswa kumrudisha mwanawe.