sw_tn/2sa/13/01.md

16 lines
392 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa baada ya haya
"Ilitukia baada ya haya." Kifungu hiki inatambulisha tukio jipya katika habari.
# Dada wa kambo
Amnoni na Tamari walikuwa watoto wa baba mmoja lakini mama tofauti
# Dada
Absalomu na Tamari walikuwa watoto wa baba na mama mmoja.
# Amnoni alichanganyikiwa kiasi cha kuwa mgojwa kwa kwa sababu ya Tamari dada yake
Hii ni kwa sababu Amnoni alimtamani ili alale nae.