sw_tn/2sa/12/31.md

16 lines
329 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Akawaleta watu nje
Daudi hakuwaleta nje watu mwenyewe; aliwaagiza askari wake kuwaleta nje.
# misumeno, sululu, na shoka
Hivi ni vifaa vya kukata miti au kuvuja ardhi.
# Sehemu ya kutengenezea matofali
Sehemu ambapo matofali yanakausha na kufanywa magumu
# Miji yote ya watu wa Amoni
Hii inarejerea kwa watu katika mji.