# Akawaleta watu nje Daudi hakuwaleta nje watu mwenyewe; aliwaagiza askari wake kuwaleta nje. # misumeno, sululu, na shoka Hivi ni vifaa vya kukata miti au kuvuja ardhi. # Sehemu ya kutengenezea matofali Sehemu ambapo matofali yanakausha na kufanywa magumu # Miji yote ya watu wa Amoni Hii inarejerea kwa watu katika mji.