forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
690 B
Markdown
20 lines
690 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Mistari hii ina maswali yasiyoitaji majibu msisitizo ambao Daudi anatambua kwamba Yahwe ameruhusu hili kutendeka.
|
||
|
|
||
|
# Nani ajuaye kuwa Yahwe atanirehemu, ili mtoto aishi?
|
||
|
|
||
|
Daudi anauliza swali hili kusisitiza kwamba hakuna ajuaye kama Yahwe angemwacha mtoto aishi. Hii inaweza kuandikwa kama taarifa. Hakuna ajuaye kwamba Yahwe atanirehemu ili mtoto aishi.
|
||
|
|
||
|
# Lakini sasa amekufa, hivyo kwa nini nifunge?
|
||
|
|
||
|
Daudi anatumia swali hili kutoa msisitizo kwamba hana haja ya kufunga tena.
|
||
|
|
||
|
# Je naweza kumrudisha tena?
|
||
|
|
||
|
Daudi anatumia swali hili kutoa msisitizo kwamba mtoto hawezi kurudi kuwa hai.
|
||
|
|
||
|
# Nitakwenda kwake
|
||
|
|
||
|
Daudi anaonesha kwamba atakapokufa atakwenda kwa mtoto.
|