forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
563 B
Markdown
16 lines
563 B
Markdown
|
# Kutoka mkononi mwa Sauli
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "mkono" linaonesha utawala. Yaani "kutoka katika utawala wa Sauli"
|
||
|
|
||
|
# wake za bwana wako katika mikono yako
|
||
|
|
||
|
Hapa Yahwe anaeleza Daudi akiwa na wake za bwana wake kama wake wake mwenyewe, kwa kusema kwamba wako "mikononi mwako."
|
||
|
|
||
|
# Pia nilikupa nyumba ya Israeli na Yuda
|
||
|
|
||
|
Hapa Yahwe anaongelea jinsi alivyompa Daudi mamlaka yake kama mfalme juu ya Israeli na Yuda kama vile alimpa nyumba ya Israeli na Yuda. Kifungu "nyumba ya" kinamaanisha "watu wa."
|
||
|
|
||
|
# Ikiwa hayo yangekuwa machache kwako
|
||
|
|
||
|
"Ikiwa nisingekupa vya kutosha"
|