forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
864 B
Markdown
28 lines
864 B
Markdown
|
# Ni nani aliyemwua Abimeleki mwana wa Yerubeshethi?
|
||
|
|
||
|
Yoabu anasema Daudi anaweza kumkemea kwa kuuliza swali hili. Yafaa kuwa "Kumbuka jinsi Abimeleki mwana wa Yerubeshethi alivyouawa!"
|
||
|
|
||
|
# Abimeleki mwana wa Yerubeshethi
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina la mwanaume. Babaye anajulikana pia kwa jina la Gideoni.
|
||
|
|
||
|
# Je mwanamke hakurusha jiwe la juu la kusagia juu yake kutoka ukutani hivyo kwamba alikufa katika Thebezi?
|
||
|
|
||
|
Yoabu anasema Daudi aweza kumkemea kwa kuuliza swali. Yafaa kuwa "Kumbuka alikufa huko Thebezi mwanamke aliporusha jiwe la juu la kusagia juu yake kutokea ukutani"
|
||
|
|
||
|
# kutokea ukutani
|
||
|
|
||
|
"kutokea juu ya ukuta wa mji"
|
||
|
|
||
|
# Jiwe la kusagia nafaka
|
||
|
|
||
|
Jiwe zito ambalo lingeweza kuzunguka, lililotumika kwa kusaga nafaka ili kutengeneza mkate
|
||
|
|
||
|
# Thebezi
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina la mji.
|
||
|
|
||
|
# Kwa nini mliukaribia ukuta kiasi hicho?
|
||
|
|
||
|
"Hamkupaswa kuwa mmeukaribia ukuta kiasi hicho!"
|