sw_tn/2sa/11/09.md

20 lines
597 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bwana wake
Neno "yake" inarejerea kwa Uria na neno "bwana" inarejerea kwa Daudi.
# Je haujatoka safarini? Kwa nini haukwenda nyumbani kwako?
Hili swali linaonesha ushangao wa Uria kwa nini hakumtembelea mke wake.
# Israeli na Yuda
Hii inarejea kwa majeshi yao yaani "majeshi ya Israeli na Yuda"
# Jinsi gani basi mimi naweza kwenda kwangu... pamoja na mke wangu?
Swali hili linasisitiza hali ya Uria kukataa kumtembelea mke wake.
# Kwa hakika kama uishivyo, sitafanya hivyo.
Uria anaapa kwa ahadi yenye nguvu kwamba hatakwenda nyumbani kwa mke wake kwa vile askari wengine wapo vitani.