sw_tn/2sa/11/01.md

20 lines
332 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa wakati wa majira ya kipupwe
"Ilitokea wakati wa majira ya kipupwe." Hii inatambulisha tukio jingine katika habari.
# katika wakati
"wakati wa mwaka"
# Daudi akampeleka Yoabu, watumishi wake, na jeshi lote la Israeli
Daudi aliwapeleka waende vitani.
# Jeshi la Amoni
"Jeshi la Waamoni"
# Raba
Hili ni jina la mji.