# Ikawa wakati wa majira ya kipupwe "Ilitokea wakati wa majira ya kipupwe." Hii inatambulisha tukio jingine katika habari. # katika wakati "wakati wa mwaka" # Daudi akampeleka Yoabu, watumishi wake, na jeshi lote la Israeli Daudi aliwapeleka waende vitani. # Jeshi la Amoni "Jeshi la Waamoni" # Raba Hili ni jina la mji.