sw_tn/2sa/10/06.md

16 lines
303 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wakawa harufu mbaya kwa Daudi
Kifungu "kuwa harufu mbaya" inamaanisha kuwa chukizo
# Beth Rehobu... Soba... Maaka... Tobu
Haya ni majina ya mahali.
# Elfu ishirini... elfu... elfu kumi na mbili
"20,000... 1,000...12,000"
# kwa langu la mji wao
Hapa "mji" inarejea kwa Raba, mji mkuu wa Waamoni