# wakawa harufu mbaya kwa Daudi Kifungu "kuwa harufu mbaya" inamaanisha kuwa chukizo # Beth Rehobu... Soba... Maaka... Tobu Haya ni majina ya mahali. # Elfu ishirini... elfu... elfu kumi na mbili "20,000... 1,000...12,000" # kwa langu la mji wao Hapa "mji" inarejea kwa Raba, mji mkuu wa Waamoni