sw_tn/2sa/09/11.md

20 lines
539 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtumishi wako atafanya yote ambayo bwana wangu mfalme amemwagiza mtumishi wake
Siba anajitaja kama "mtumishi wako" na kumtaja Daudi kama "bwana wangu". Mtumishi wako atafanya yote ambayo wewe bwana wangu mfalme umeagiza.
# Mika
Hili ni jina la mwana wa Mefiboshethi.
# wate walioishi katika nyumba ya Siba
Hapa "nyumba" inawakilisha familia ya Siba.
# Anakula katika meza ya mfalme daima
Hapa "meza" inawakilisha kuwa pamoja na Daudi au katika uwepo wake.
# Japokuwa alikuwa kilema katika miguu yote miwili.
Hakuweza kutembea.