sw_tn/2sa/09/09.md

12 lines
273 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni lazima ale Daima katika meza yangu
Hapa "meza yangu" inawakilisha kuwa pamoja na Daudi.
# Basi Siba... watumishi
Hapa "basi" inaonesha mkato wa habari. Msimuliaji anatoa taarifa kuhusu Siba.
# wana kumi na watano na watumishi ishirini
"wana 15 na watumishi 20"