# Ni lazima ale Daima katika meza yangu Hapa "meza yangu" inawakilisha kuwa pamoja na Daudi. # Basi Siba... watumishi Hapa "basi" inaonesha mkato wa habari. Msimuliaji anatoa taarifa kuhusu Siba. # wana kumi na watano na watumishi ishirini "wana 15 na watumishi 20"