sw_tn/2sa/09/03.md

16 lines
305 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ninaweza kuonesha ukarimu wa Mungu
Yaweza kufasiriwa kuwa "naweza kuwa mkarimu kama niliyomwaidi Mungu"
# mlemavu katika miguu yake
"Ambaye miguu yake imearibika." Neno "miguu" hapa linaonesha uwezo wa kutembea.
# Makiri... Amieli
Haya ni majina ya wanaume.
# Lo Debari
Hili ni jina la sehemu.