# Ninaweza kuonesha ukarimu wa Mungu Yaweza kufasiriwa kuwa "naweza kuwa mkarimu kama niliyomwaidi Mungu" # mlemavu katika miguu yake "Ambaye miguu yake imearibika." Neno "miguu" hapa linaonesha uwezo wa kutembea. # Makiri... Amieli Haya ni majina ya wanaume. # Lo Debari Hili ni jina la sehemu.