forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
944 B
Markdown
16 lines
944 B
Markdown
|
# Je niliwai kusema jambo lolote kwa kiongozi yeyote wa Israeli niliyemchagua kuwachunga watu wangu Israeli, kusema, "Kwa nini hamjanijengea nyumba ya mwerezi?
|
||
|
|
||
|
Hii ina nukuu ndani ya nukuu nyingine. Nukuu ya moja kwa moja inaweza kuelezwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. Yaani: "Sijawai kumwambia mmojawapo wa viongozi, niliowachagua, kunijengea hekalu la mbao za mwerezi."
|
||
|
|
||
|
# Je niliwai kusema jambo lolote kwa kiongozi yeyote wa Israeli
|
||
|
|
||
|
Yahwe anatumia nukuu kusisitiza kwamba hakuwai kuwambia viongozi wa Israeli kumjengea nyumba.
|
||
|
|
||
|
# Kwa nini hamkuwai kunijengea nyumba ya mwerezi?
|
||
|
|
||
|
Ikiwa Yahwe alikuwa amewauliza viongozi swali hili, angekuwa ametumia swali kuwalaumu kwa kutomjengea nyumba ya mwerezi. Lakini, Yahwe alisema hapo mwanzo kwamba hakuwa amewauliza swali hili. Yaani: "Mlipaswa kuwa mmenijengea nyumba ya mwerezi."
|
||
|
|
||
|
# niliowateua kuwachunga watu wangu Israeli
|
||
|
|
||
|
Viongozi wanasemwa kama wachungaji na watu kama kondoo.
|