forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
325 B
Markdown
16 lines
325 B
Markdown
|
# Basi...moyoni mwake
|
||
|
|
||
|
Neno "basi" linaonesha kukatishwa kwa habari. Hapa msimuliaji anatoa taarifa juu ya Mikali.
|
||
|
|
||
|
# Mikali
|
||
|
|
||
|
Alikuwa ni binti wa Mfalme Sauli na pia mke wa kwanza wa Daudi.
|
||
|
|
||
|
# alimdharau moyoni mwake
|
||
|
|
||
|
Hapa "moyo" unawakilisha mawazo na hisia. Yaani: "alimwangalia kwa dharau"
|
||
|
|
||
|
# mbele za Yahwe
|
||
|
|
||
|
"kwa Yahwe"
|