# Basi...moyoni mwake Neno "basi" linaonesha kukatishwa kwa habari. Hapa msimuliaji anatoa taarifa juu ya Mikali. # Mikali Alikuwa ni binti wa Mfalme Sauli na pia mke wa kwanza wa Daudi. # alimdharau moyoni mwake Hapa "moyo" unawakilisha mawazo na hisia. Yaani: "alimwangalia kwa dharau" # mbele za Yahwe "kwa Yahwe"