sw_tn/2sa/06/08.md

12 lines
462 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Peresi Uza
Hili ni jina la mahali. Mtu anayetafasiri anaweza kuongeza maelezo ya chini kusema, "Jina Peresi Uza linamaanisha 'adhabu ya Uza."'
# hadi siku hiyo
Hii inamaanisha hadi wakati habari hii ilipokuwa inaandikwa, siyo sasa katika karne ya ishirini na moja.
# Jinsi gani sanduku la Yahwe lije kwangu?
Daudi anatumia swali hili kusisitiza kwamba anaogopa kulipeleka sanduku Yerusalem. Yaani: "Ninaogopa sana kulileta sanduku la Yahwe Yerusalemu."