sw_tn/2sa/05/06.md

12 lines
303 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo kwa Jumla
Daudi na jeshi la Israeli wanaishambulia Yerusalemu
# Hautaingia humu isipokuwa utazuiwa na vilema na vipofu
Hii inaweza kuelezwa katika muundo chanya. Yaani: "ikiwa utakuja hapa, hata vipofu na vilema wataweza kukuondoa."
# vipofu na vilema
Watu wasioweza kuona wala kutembea