# Maelezo kwa Jumla Daudi na jeshi la Israeli wanaishambulia Yerusalemu # Hautaingia humu isipokuwa utazuiwa na vilema na vipofu Hii inaweza kuelezwa katika muundo chanya. Yaani: "ikiwa utakuja hapa, hata vipofu na vilema wataweza kukuondoa." # vipofu na vilema Watu wasioweza kuona wala kutembea