sw_tn/2sa/04/01.md

20 lines
601 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ishbosheth...Baana...Rekabu...Rimoni
Haya ni majina ya wanaume.
# Basi mwana wa Sauli alikuwa na watu wawili...muda huu
Hii inawatambulisha Baana na Rekabu katika habari.
# mikono yake ikadhoofika
Katika kifungu hiki "mikono yake" inamwakilisha Ishboshethi. Yaani: "Ishboshethi akadhoofika au kupoteza nguvu"
# maana Beerothi pia ilihesabiwa kuwa sehemu ya Benjamini, na Wabeerothi walikimbilia Tittaim na wamekuwa wakiishi pale mpaka sasa
Hapa mwandishi anatoa mazingira ya Beerothi kwa msomaji. Beerothi ilikuwa sehemu ya nchi ya Benjamini.
# Beeroth...Gittaim
Haya ni majina ya sehemu.