forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
694 B
Markdown
28 lines
694 B
Markdown
|
# Neri...Abishai...Asaheli
|
||
|
|
||
|
Haya ni majina ya wanaume.
|
||
|
|
||
|
# damu ya Abneri
|
||
|
|
||
|
"Damu" hapa inahusu kifo cha Abneri.
|
||
|
|
||
|
# iwe juu ya kichwa cha Yoabu
|
||
|
|
||
|
Kifungu kinamaanisha tokeo la hatia litakuwa juu ya Yoabu na familia yake kama kitu kizito kilichoanguka juu yao. Yaani kusababisha "matatizo kwa Yoabu siku zote"
|
||
|
|
||
|
# nyumba yote ya baba yake
|
||
|
|
||
|
"Nyumba" hapa inahusu vizazi. Kifungu "nyumba yote ya baba yake" kinarejea kwa uzao wote wa baba wa Yoabu.
|
||
|
|
||
|
# Kusikosekane kuwa
|
||
|
|
||
|
Huu ukanushi wa kujirudia unasisitiza kuwa kutakuwa na mtu daima mwenye matatiza yaliyoainishwa.
|
||
|
|
||
|
# ameuawa kwa upanga
|
||
|
|
||
|
"Upanga" hapa unarejesha kwa kifo kibaya. "Yaani alikufa vibaya"
|
||
|
|
||
|
# anayekwenda bila chakula
|
||
|
|
||
|
"mwenye njaa"
|