sw_tn/2sa/03/17.md

16 lines
408 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi fanya hivyo
"Hivyo sasa mfanyeni Daudi kuwa mfalme wenu"
# Kwa mkono wa mtumishi wangu Daudi
Hapa "mkono" unataja nguvu ya Daudi kuwashinda Wafilisiti. Yaani nitamtia nguvu mtumishi wangu Daudi"
# mkono wa Wafilisiti
Hapa "mkono" unaonesha nguvu juu ya Israeli. Yaani:"nguvu ya Wafilisiti"
# mkono wa adui zao wote
Hapa "mkono" unaonesha nguvu juu ya Israeli. Yaani: "nguvu ya adui zao wote"