# Basi fanya hivyo "Hivyo sasa mfanyeni Daudi kuwa mfalme wenu" # Kwa mkono wa mtumishi wangu Daudi Hapa "mkono" unataja nguvu ya Daudi kuwashinda Wafilisiti. Yaani nitamtia nguvu mtumishi wangu Daudi" # mkono wa Wafilisiti Hapa "mkono" unaonesha nguvu juu ya Israeli. Yaani:"nguvu ya Wafilisiti" # mkono wa adui zao wote Hapa "mkono" unaonesha nguvu juu ya Israeli. Yaani: "nguvu ya adui zao wote"