sw_tn/2sa/02/30.md

20 lines
348 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Asaheli
Hili ni jina la mwanamme
# watu 360 wa Benjamini pamoja na Abneri
"watu 360 kutoka Benjamini waliomfuata Abneri." Abneri hakufa.
# wa Benjamini
Kifungu kinamaanisha "kutoka kabila la Benjamini."
# Kumwinua Asaheli
"waliochukua mwili wa Asaheli"
# Siku ikawia asubuhi huko Hebroni
"walifika Hebrono alfajiri asubuhi iliyofuata."