sw_tn/2sa/02/01.md

12 lines
389 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# baada ya haya
Baada ya Daudi kuomboleza kifo vya Sauli na Yonathani vitani.
# panda katika mojawapo ya miji ya Yuda
Siklagi ulikuwa chini katika mwinuko kuliko Yuda. Inaweza pia kuwa "uendee mmojawapo ya miji ya Yuda"
# Daudi akaenda pamoja na wakezi wawili.
Siklagi ulikuwa chini kuliko Hebroni. Inaweza kuwa pia kwamba "Daudi alisafiri kwenda Hebrani pamoja na wake wake wawili"