forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
790 B
Markdown
24 lines
790 B
Markdown
|
# hata hivyo
|
||
|
|
||
|
Ijapokuwa Bwana ni mvumilivu na anataka watu watubu, hakika atarudi na kuleta hukumu.
|
||
|
|
||
|
# siku ya Bwana itakuja kama mwizi
|
||
|
|
||
|
Petro anazungumza juu ya siku ambayo Mungu atamhukumu kila mmoja kama mwizi anayekuja pasipo kutegemewa na kuwashtusha watu.
|
||
|
|
||
|
# Mbingu itapita kwa kupaza kelele
|
||
|
|
||
|
"Mbingu zitapita"
|
||
|
|
||
|
# Vitu vitateketezwa kwa moto
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu atateketeza kwa moto"
|
||
|
|
||
|
# Vitu
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowekana ni 1) vitu vya mbinguni kama vile jua, mwezi, na nyota au 2) vinavyofanya mbingu na nch, kama vile mchanga, hewa, moto na maji.
|
||
|
|
||
|
# nchi na matendo yatafunuliwa
|
||
|
|
||
|
Mungu ataiona dunia yote na matendo yote ya kila mmoja, na atahukumu kila kitu. Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu ataiweka wazi nchi na kila kitu watu walichofanya."
|